Gareth Bale akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 18 hilo likiwa bao la kwanza katika klabu hiyo tangu Septemba 1, mwaka jana katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Unionistas de Salamanca ya Daraja la Tatu kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme Hispania Hatua ya 16 Bora usiku wa jana Uwanja wa Pistas del Helmántico. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Juan Góngora aliyejifunga dakika ya 62 na Brahim Díaz dakika ya 90 na ushei wakati la 'Unionistas lilifungwa na Álvaro Romero dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tyler Tejada scores 24 as Towson defeats Loyola Maryland 67-56 in opener
                      -
                    
BALTIMORE (AP) — Tyler Tejada's 24 points helped Towson defeat Loyola 
Maryland 67-56 on Monday night in a season opener.
31 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment