Mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 20, Diana Msemwa (kulia) akishangilia na Protasia Mbunda baada ya kuifungia Tanzanites bao la kwanza katika ushnidi wa 2-1 dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2020. Bao la pili la Tanzania limefungwa na wakati la Opa Clement, wakati la Uganda limefungwa na Julieth Nalukenge. Sasa Tanzanites watatakiwa kwenda kuulinda ushindi huo kwenye mchezo wa marudiano Uganda ili kusonga mbele
GB's Hunt makes global mark with 200m silver
-
Great Britain's Amy Hunt announces herself on the global stage by claiming
a stunning 200m silver in her first major final at the World Championships
in To...
40 minutes ago
0 comments:
Post a Comment