Mshambuliaji Mmisri Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 90 na ushei kufuatia beki Mholanzi, Virgil Van Dijk kufunga la kwanza dakika ya 14 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United leo Uwanja wa Anfield hivyo kuendelea kuongoza ligi hiyo kwa pointi 16 zaidi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jake Paul's fight with Gervonta 'Tank' Davis cancelled amid domestic 
violence lawsuit
                      -
                    
Paul's 'Most Valuable Promotions' confirmed on Monday night that they are 
instead planning for the YouTuber-turned-boxer to headline another event on 
Netfl...
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment