MTHAILAND AWASILI DAR KUZIPIGA NA MTANGO IJUMAA MKWAKWANI
Bondia Suriya Tatakhun akiwa na kocha wake baada ya kuwasili leo Jijini Dar es Salaam kutoka kwao, Thailand tayari kwa pambano kubwa la ngumi la kimataifa dhidi ya mwenyeji, Salim Jengo Mtango usiku wa Ijumaa Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga kuwania taji lilio wazi la UBO uzito wa Light
0 comments:
Post a Comment