Roberto Firmino, Jordan Henderson, Mohamed Salah, na Georginio Wijnaldum wakishangilia baada ya Liverpool kupata bao la kwanza jana katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa London. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 35 kwa penalti na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 52 na kwa ushindi huo, Wekundu hao wa Anfield sasa wanaongoza Ligi Kuu kwa pointi 19 zaidi ya Manchester City wanaofuatia baada ya wote kucheza mechi 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Jake Paul's fight with Gervonta 'Tank' Davis cancelled amid domestic 
violence lawsuit
                      -
                    
Paul's 'Most Valuable Promotions' confirmed on Monday night that they are 
instead planning for the YouTuber-turned-boxer to headline another event on 
Netfl...
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment