BLACKPOOL YAMPELEKA ADI YUSSUF KWA MKOPO BOREHAM WOOD HADI MWISHONI MWA MSIMU
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Abdillahie Abdallah 'Adi' Yussuf akiwa ameshika jezi ya klabu ya Boreham Wood ya Daraja la Tano baada ya kujiunga nayo kwa mkopo wa hadi mwishoni mwa msimu kutoka Blackpool ya Daraja la Tatu England
0 comments:
Post a Comment