MTANGO AMTWANGA MTHAILAND TKO RAUNDI YA SABA MKWAKWANI
Refa Anthony Rutta akimuinua mkono bondia Salim Jengo Mtango baada ya kumshinda Suriya Tatakhun wa Thailand kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya saba usiku wa leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini na kutwaa taji la UBO uzito wa Light
0 comments:
Post a Comment