Eddie Nketiah akishangilia na Bukayo Saka baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 26 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Vitality. Saka alifunga bao la kwanza dakika ya tano, wakati bao la Bournemouth lilifungwa na Sam Surridge dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
GB's Hunt makes global mark with 200m silver
-
Great Britain's Amy Hunt announces herself on the global stage by claiming
a stunning 200m silver in her first major final at the World Championships
in To...
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment