Kiungo Carlos Henrique Casimiro akishangilia baada ya kuifunga Real Madrid mabao mawili dakika za 57 na 69 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sevilla, ambayo bao lake lilifungwa na Luuk de Jong dakika ya 64 usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
GB's Hunt makes global mark with 200m silver
-
Great Britain's Amy Hunt announces herself on the global stage by claiming
a stunning 200m silver in her first major final at the World Championships
in To...
43 minutes ago
0 comments:
Post a Comment