Mshambuliaji Leonel Messi akipongezwa na Arturo Vidal baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 59 na 89 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Leganes kwenye mchezo wa Hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania usiku wa Alhamisi Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca inayotinga Robo Fainali sasa, yamefungwa na Antoine Griezmann dakika ya nne, Clement Lenglet dakika ya 27 na Arthur Melo dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
GB's Hunt makes global mark with 200m silver
-
Great Britain's Amy Hunt announces herself on the global stage by claiming
a stunning 200m silver in her first major final at the World Championships
in To...
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment