MATHEO AIPIGIA BAO PEKEE POLISI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 LEO USHIRIKA
Bao pekee la mshambuliaji Matheo Anthony Simon dakika ya 82 limetosha kuipa ushindi wa 1-0 Polisi Tanzania dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
0 comments:
Post a Comment