Sergio Aguero akifunga bao lililoelekea kuwa la ushindi kwa Manchester City dakika ya 87 kabla ya Fernandinho kujifunga dakika ya 90 na kufanya sare ya 2-2 na Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Aguero pia aliifungia bao la kwanza Manchester City dakika ya 82 lililokuwa la kusawazisha baada ya Cenk Tosun kuanza kuifungia Crystal Palace dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
GB's Hunt makes global mark with 200m silver
-
Great Britain's Amy Hunt announces herself on the global stage by claiming
a stunning 200m silver in her first major final at the World Championships
in To...
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment