MAZOEZINI YA MWISHO LEO YANGA SC KABLA YA KUWAVAA MAHASIMU WAO WA JADI KESHO TAIFA
Mshambulaji mpya, Muivory Coast, Yikpe Gilslain Gnamien akimiliki mpira kwenye mazoezi ya Yanga SC Jijini Dar es Salaam leo kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya mahasimu, Simba SC Uwanja wa Taifa kuanzia Saa 11:45 jioni
Beki mpya, Adeyoum Ahmed akiwa mazoezini leo Jijini Dar es Salaam
Kiungo Mnyarwanda Patrick Sibomana akiwa mazoezini leo
Mshambuliaji mpya, Ditram Nchimbi akimilik mpira mazoezini leo
Kiungo aliyerejeshwa kikosini, Haruna Niyonzima akiwa mazoezini leo
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment