Willian akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la pili kwa penalti dakika ya 78 ikiilaza Manchester City 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja Stamford Bridge, London. Bao la kwanza la Chelsea lilifungwa na Christian Pulisic dakika ya 36 kabla ya Kevin De Bruyne kuisawazishia Man City dakika ya 55 ambayo ilimaliza pungufu kufuatia Fernandinho kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 77 kwa kuchez rafu. Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 54 baada ya kucheza mechi 31, ingawa inabaki nafasi ya nne nyuma ya Leicester City wenye pointi 55, Manchester City pointi 63 na Liverpool pointi 86 ambao sasa ni mabingwa rasmi wa England baada ya maka 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joel Embiid miffed by FT disparity in 76ers' Game 3 loss to Knicks: 'I
guess it's good when New York wins'
-
The Knicks attempted 32 free throws on Friday night, twice as many as the
Sixers.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment