SIMBA SC WAWASILI MBEYA AJILI YA MECHI MBILI MFULULIZO DHIDI YA MBEYA CITY NA TANZANIA PRISONS
Nahodha wa Simba John Raphael Bocco baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili Jijini Mbeya kwa ndege mapema leo tayari kwa mechi zake mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya wenyeji, Mbeya City Jumatano na Tanzania Prisons Jumapili Uwanja wa Sokoine.
Kiungo Jonas Mkude ameongozana na timu kwa ajili ya mechi hizo mbili mfululizo za Ligi Kuu
Kikosi cha Simba kikiwa Uwanja wa Ndege wa Mbeya baada ya kuwasili kwa ajili ya mechi dhidi ya wenyeji
Item Reviewed: SIMBA SC WAWASILI MBEYA AJILI YA MECHI MBILI MFULULIZO DHIDI YA MBEYA CITY NA TANZANIA PRISONS
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment