Ivan Rakitic akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 71 akimalizia pasi ya Lionel Messi katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp. Ushindi huo unairejesha Barcelona kileleni ikifikisha pointi 68 baada ya kucheza mechi 31 sasa ikiizidi Real Madrid pointi tatu, ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How Jamie Melham went from 'little fat kid' to winning the Melbourne Cup 
after battling back from white powder and Covid scandals
                      -
                    
Jamie Melham will forever be etched in Australian racing record books 
following her triumph in the Melbourne Cup on board Half Yours - but it 
could have be...
59 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment