Eden Hazard (kushoto) na Luka Modric (kulia) wakimpongeza Karim Benzema baada ya kufunga mabao mawili dakika za 61 na 86 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Valencia kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stefano, bao la pili likifungwa na Marco Asensio. Ushindi huo unaifanya Real Madrid ifikishe pointi 62 baada ya kucheza mechi 29 na sasa na inazidiwa pointi mbili tu na Barcelona wanaoongoza ligi hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Why the AFL doesn't want you to know who this mystery man is
-
The top brass at AFL headquarters won't be impressed after the reason for
the man's presence at several games was revealed on TV on Monday night.
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment