Mshambuliaji Eddie Nketiah akishangilia baada ya kuifungia Arsenal dakika ya 20 kabla ya Joe Willock kufunga la pili dakika ya 86 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Southampton usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. Mary's. Ushindi huo unaifanya Arsenal ifikishe pointi 43 baada ya kucheza mechi 31 na kupanda hadi nafasi ya tisa kutoka ya 11, wakati Southampton inabaki nafasi ya 14 na pointi zake 37 za mechi 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Australia not a bunch of old-timers - they're an outstanding team'
-
Australia's squad is older than England's and many are playing in their
last Ashes, but they remain an outstanding team, says Stephan Shemilt.
26 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment