Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 69 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yalifungwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya 23, Mohamed Salah na Fabinho na kwa ushindi huo Liverpool inahitaji ushindi katika mchezo ujao dhidi ya Manchester City Julai 2 kutawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment