Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 20 kabla ya kufunga la pili dakika ya 67, Barcelona ikilazimisha sare ya 2-2 na Celta Vigo ambayo mabao yake yamefungwa na Fedor Smolov dakika ya 50 na Iago Aspas dakika ya 88 katika mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Abanca-BalaÃdos. Pamoja na sare hiyo, Barcelona inarejea kileleni ikifikisha pointi 69 baada ya kucheza mechi 32, sasa ikiizidi Real Madrid pointi moja tu ambayo pia ina mechi moja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Emotional Liverpool legend Graeme Souness on the verge of tears as he opens
up about supporting 'beautiful' young girl, 13, with 'the cruellest' skin
condition
-
The Scotsman appeared on Good Morning Britain with hosts Susanna Reid and
Ed Balls to discuss the skin condition epidermolysis bullosa.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment