Raheem Sterling akiifungia bao la pili Manchester City dakika ya 68 kufuatia Kevin De Bruyne kufunga la kwanza dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Newcastle United 2-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa St. James Park. Man City sasa itakutana na Arsenal iliyoitoa Sheffield United na Chelsea iliyoitoa Leicester City itakutana na Manchester United iliyoitoa Norwich City Julai 18 Uwanja wa Wembley Jijni London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
James McClean confirms he DID throw a punch at Cardiff fan...and reveals why
-
Wrexham star James McClean has confirmed he threw a punch at a Cardiff fan
in self-defence before last week's all-Wales encounter in the Carabao Cup.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment