Anthony Martial akishangilia baada ya kufunga mabao matatu dakika za saba, 44 na 74 hiyo ikiwa hat trick yake ya kwanza kihistoria katika ushindi wa 3-0 wa Manchester United dhidi ya Sheffield United FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Kwa ushindi huo Manchester United wanafkisha pointi 49 baada ya kucheza mechi 31, ingawa wanabaki nafasi ya tano nyuma ya Chelsea yenye pointi51 za mechi 30, Leicester City pointi 55 mechi 31, Manchester City pointi 63 mechi 30 na Liverpool pointi 86 mechi 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hearts 2-0 Aberdeen: Flying start fuels high hopes that Derek McInnes can
disrupt natural order
-
As Tony Bloom talks the talk about his lofty ambitions for Hearts, Derek
McInnes and his players indicated they are ready to walk the walk in the
Premiership.
53 minutes ago
0 comments:
Post a Comment