ROSS BARKLEY AIPELEKA CHELSEA NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND
Ross Barkley akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 63 ikiwalaza wenyeji, Leicester City 1-0 Uwanja wa King Power na kutinga Nusu Fainali ya Kombe la FA England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment