Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (wa pili kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo Msemaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Hassan Abbas kabla ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam timu hiyo ikishinda 2-0
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
53 minutes ago
0 comments:
Post a Comment