Neal Maupay akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Brighton & Hove Albion dakika ya 90 ushei ikiilaza Arsenal 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Amex. Bao la kwanza la Brighton limefungwa na Lewis Dunk dakika ya 75 kufuatia Nicolas Pepe kuanza kuifungia Arsenal dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment