Kiungo Fernando Francisco Reges akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Sevilla bao la pili dakika ya 62 akimalizia kazi nzuri ya Lucas Ocampos aliyefunga bao la kwanza kwa penalti dakika ya 56 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Real Betis kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ramon Sanchez-Pizjuan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
COSEYL commends Tinubu over Nnanna Kalu’s appointment to NASC
-
From Stanley Uzoaru, Owerri The Coalition of South East Youth Leaders
(COSEYL) has expressed gratitude to President Bola Ahmed Tinubu for
appointing Nnan...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment