AZAM FC WALIVYOWASILI MJINI BUKOBA LEO KWA NDEGE MAALUM TAYARI KUIVAA KAGERA SUGAR KESHO KAITABA
Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya akiteremka kwenye ndege baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili mjini Bukoba asubuhi ya leo tayari kwa mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar kesho Uwanja wa Kaitaba.
Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOWASILI MJINI BUKOBA LEO KWA NDEGE MAALUM TAYARI KUIVAA KAGERA SUGAR KESHO KAITABA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment