Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 43 akimalizia pasi ya Fernandinho na 45 na ushei kwa penalti katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Phil Foden mawili pia dakika za 22 na 63 na David Silva dakika ya 51 na kwa ushindi huo, Liverpool itahitaji kushinda mechi mbili zijazo ili kutawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Predictor picks: Find out who our expert is backing this weekend... and
play the game with £1,000 up for grabs
-
Predictor is our simple, free-to-play competition where you can win big
cash prizes, with £1,000 up for grabs weekly. Guess the winner of six
Premier Leagu...
6 minutes ago
0 comments:
Post a Comment