MWAKALEBELA NA GEORGE WEAH STARS IKITOA SARE NA LIBERIA 1992
Manahodha David Mwakalebela ‘MP’ wa Tanzania na George Weah wa Liberia wakisalimiana kabla ya mchezo wa Kundi la Saba kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) Agosti 30, mwaka 1992 Jijini Monrovia timu hizo zikitoka sare ya 1-1
0 comments:
Post a Comment