Nyota wa Everton, Tom Davies akikosa bao la wazi baada ya kugongesha nguzo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya mahasimu wao, Liverpool uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Goodison Park usiku wa jana. Sasa Liverpool watasubiri kushinda dhidi ya Crystal Palace ili kutangaza ubingwa na hiyo ni iwapo Manchester City hawatashinda dhidi ya Burnley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment