KIUNGO FUNDI WA SIMBA SC, CLATOUS CHAMA ALIVYOWASILI JIJINI DAR ES SALAAM JANA KUTOKA KWAO, ZAMBIA
Kiungo wa Simba SC, Clatous Chama (kulia) akiwa na Mtratibu wa klabu, Abbas Suleiman baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka kwao, Zambia jana tayari kujiunga na wenzake kwa maandalizi ya kumalizia msimu
Item Reviewed: KIUNGO FUNDI WA SIMBA SC, CLATOUS CHAMA ALIVYOWASILI JIJINI DAR ES SALAAM JANA KUTOKA KWAO, ZAMBIA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment