Lionel Messi akikimbia kuishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika za 45 kwa penalti na 62 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana dhidi ya Valencia Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Luis Suarez dakika ya 35 na Andre Gomes dakika ya 89, wakati ya Valencia yalifungwa na Eliaquim Mangala dakika ya 29 kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu, kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 44 kwa kumuangusha Suarez na la pili likafungwa na Munir El Haddadi dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
What next for Kieran Trippier?
-
Newcastle United defender Kieran Trippier has an open mind about his next
move as he focuses on finishing his St James' Park stay on a high.
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment