| Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe (kushoto) akizungumza na kiungo wa Madini FC ya Arusha jana Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha baada ya mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC). Simba ilishinda 1-0 na kwenda Nusu Fainali. |
0 comments:
Post a Comment