Nyota wa Argentina, Lionel Messi (kulia) na Luis Suarez wa Uruguay (kushoto) wakiwa wamevaa jezi namba 20 na namba 30 ambazo kwa pamoja zinasomeka 2030 kumaanisha mpango wa pamoja wa nchi hizo kuomba kuandaa Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2030. Picha hiyo imepigwa alfajiri ya leo Uwanja wa Centenario mjini Montevideo kabla ya mchezo kati ya wenyeji, Uruguay na Argentina kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi kwa kanda ya Amerika ya Kusini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Legendary MLB manager and Hall of Famer Bobby Cox dead at 84 as tributes
pour in
-
His death comes as a devastating second blow to the franchise in less than
a week, following the recent passing of legendary former owner Ted Turner.
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment