Philippe Coutinho akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Brazil bao la pili dakika ya 76 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Ecuador kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi kwa kanda ya Amerika Kusini uliofanyika jana Uwanja wa Arena do Gremio mjini Porto Alegre, Rio Grande do Sul. Bao la kwanza la Brazil lilifungwa na Paulinho dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Will McLaren be worried about Norris-Piastri relationship?
-
BBC Sport F1 correspondent Andrew Benson answers your latest questions
following the Hungarian Grand Prix.
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment