Winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva (wa pili kulia) akifurahia na wachezaji wenzake na Maofisa wa Difaa Hassan El Jadida kuelekea mchezo wa leo wa Kombe la FA Morocco dhidi ya wenyeji, Ittihad Tanger Uwanja wa Grand Stade de Tanger kufuatia mchezo wa awali kumalizika kwa sare ya 0-0 Septemba 13 mjini Jadida
GM Could Cut China Reliance On Magnets
-
Three suppliers secure magnets while Niron explores alternatives
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment