Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Atletico Madrid dakika ya 71 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Copenhagen Uwanja wa Telia Parken mjini Copenhagen usiku wa Alhamisi katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Europa League. Mabao mengine ya Atletico Madrid yalifungwa na Saul Niguez dakika ya 21, Kevin Gameiro dakika ya 37 na Víctor Machin Perez 'Vitolo' dakika ya 77 baada ya wenyeji kutangulia kwa bao la Viktor Fischer dakika ya 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
🗞️ Front pages: the day Barça can sink Madrid
-
This Sunday’s front pages are all speaking the same language, all focused
on the same thing. El Clásico is devouring everything because today Barça
can cli...
29 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment