Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za nne na 28 kwa penalti timu yake ikichapwa 3-2 na Lokomotiv Moscow katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Bora Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice. Mabao yote ya Lokomotiv Moscow yalifungwa na Manuel Fernandes dakika za 45 kwa penalti, 69 na 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ireland 'still hungry to get better' - Bemand
-
A lot has changed in the past two years for Scott Bemand and his youthful
Ireland squad.
1 minute ago



.png)
0 comments:
Post a Comment