Michy Batshuayi anayecheza kwa mkopo Borussia Dortmund kutoka Chelsea, akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 65 na 90 na ushei wenyeji wakitoka nyuma kwa mabao 2-1 na kushinda 3-2 dhidi ya Atalanta kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Bora Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Bao lingine la Dortmund lilifungwa na Andre Schurrle dakika ya 30, wakati ya Atalanta yalifungwa na Josip Ilicic yote dakika za 51 na 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arsenal XI vs West Ham: Predicted lineup, confirmed team news, injury
latest for Premier League
-
Gunners face their trickiest test of their final three games
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment