Kipa wa Levante, Oier akiokoa mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Nahodha Sergio Ramos dakika ya 11 na Isco dakika ya 81 wakati ya Levante yalifungwa na Emmanuel Boateng dakika ya 42 na Giampaolo Pazzini dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Saints set up Wigan cup final clash with win over Leeds
-
St Helens set up a repeat of the 2025 Challenge Cup final against Wigan
Warriors as they beat Leeds Rhinos.
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment