Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akikosa bao la wazi kipindi cha pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Burnley leo Uwanja wa Turf Moor timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Man City ilitangulia kwa bao la Danilo dakika ya 22 kabla ya Johann Berg Gudmundsson kuisawazishia Burnley dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Injured Yates out of Giro after 30-rider crash
-
Britain's Adam Yates is out of the Giro d'Italia after suffering concussion
in a heavy crash on Saturday.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment