Beki wa Colombia, Yerry Mina akipiga magoti kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi timu yake dakika ya 74 ikiilaza 1-0 Senegal katika mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia leo Uwanja wa Samara Arena nchini Urusi. Kwa matokeo hayo, Colombia imeungana na Japan kwenda hatua ya 16 Bora, huku Senegal ikiungana na timu nyingine za Afrika, Nigeria, Morocco, Misri na Tunisia kuaga mashindano huku Poland nayo ikitolewa pamoja na kushinda 1-0 dhidi ya Japan PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment