ULIMWENGU AONYESHA YUKO FITI NA TAYARI KWA KAZI SUDAN
Mshambuliaji mpya wa Al Hilal ya Sudan, Thomas Ulimwengu akiwatoka wenzake wakati wa mazoezi juzi mjini Khartoum. Ulimwengu anarejea uwanjani akiwa na klabu mpya, baada ya kukaa nje kwa mwaka mzima kufuatia kuumia akiwa na AFC Eskilstuna ya Sweden mwaka jana
0 comments:
Post a Comment