Nahodha wa Argentina, Lionel Messi akiondoka kinyonge baada ya mchezo hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia leo Uwanja wa Kazan Arena, Urusi timu yake ikichapwa mabao 4-3 na Ufaransa na kutolewa. Sasa Ufaransa itakutana na mshindi kati ya Uruguay na Ureno kwenye Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
🚨 Out of the blue, Bundesliga club changes its badge
-
The top match between VfL Wolfsburg and FC Bayern is already creating
plenty of storylines before kickoff. After it became public ahead of the
game that Di...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment