Mshambuliaji Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia England mabao matatu dakika za 22, 45 na ushei yote kwa penalti na 62 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Panama kwenye mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia leo Uwanja wa Stadion Nizhny Novgorod nchini Urusi. Mabao mengine ya England yamefungwa na John Stones dakika ya nane na 40 na Jesse Lingard dakika ya 36, wakati la Panama limefungwa na Felipe Baloy dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
LIV Golf makes major format change for 2026 that will delight its
multimillionaire players
-
LIV's failure to secure ranking points in the past three years has seen its
star names plummet down the global standings, with the consequence that
they ha...
34 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment