Ivan Perisic akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Croatia dakika ya 90 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia Uwanja wa Rostov Arena nchini Urusi. Milan Badelj alianza kuifungia Croatia dakika ya 53 kaba ya Gylfi Sigurdsson kusawazisha dakika ya 76 kwa penalti kufuatia Dejan Lovren kucheza rafu kwenye boksi. Croatia inamaliza mechi za makundi ikishinda zote tatu baada ya kuzifunga pia Argentina na Nigeria na sasa itakutana na Denmark katika 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment