ENZI ZA UDHAMINI WA TIGO YANGA SC MAMBO YALIKUWA HIVI..
Wachezaji wa Yanga, kipa Matokeo Lucas (kushoto) na kiungo Ally Yusuph ‘Tigana’ katika jezi za Simu Poa, wadhamini wao kampuni ya Mobitel, ambayo sasa ndiyo Tigo kabla ya mechi zao mwaka 2000 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment