KANE APIGA ZOTE MBILI ENGLAND YAICHINJA TUNISIA 2-1 KUNDI G
Harry Kane akishangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao mawili England dakika za 11 na 90 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tunisia kwenye mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia Jumatatu Uwanja wa Volgograd nchini Urusi. Bao la Tunisia limefungwa na Ferjan Sassi kwa penalti dakika ya 35PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment