Mshambuliaji Radamel Falcao wa Colombia akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 70 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Poland Jumapili kwenye mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia mjini Kazan, Urusi. Mabao mengine ya Colombia yamefungwa na Yerry Mina dakika ya 40 na Juan Cuadrado dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment