Javier Hernandez akishangilia baada ya kuifungia Mexico bao la ushindi dakika ya 66 ikiilaza Korea Kusini 2-1 katika mchezo wa Kundi F Kombe la Dunia leo Uwanja wa Rostov Arena nchini Urusi. Hiyo ni baada ya Carlos Vela kuanza kuifungia Mexico dakika ya 26 na kabla ya Son Heung-Min kuifungia Korea Kusini bao la kufutia machozi dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment